Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo usimamizi-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo usimamizi-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 16 Machi 2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Uendelezo wa Sehemu ya Kwanza

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Uendelezo wa Sehemu ya Kwanza

Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Hakuna Awezaye Kuzuia Kazi Ambayo Mungu Anaamua Kufanya
Kazi ya Usimamizi wa Mungu na Wokovu wa Wanadamu Yaanza na Ibrahimu Kumtoa Isaka
Mungu Hajali Kama Binadamu Ni Mjinga—Anahitaji Tu Binadamu Awe Mkweli
Binadamu Anapata Baraka za Mungu kwa Sababu ya Uaminifu na Utii Wake
Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaoweza Kumshuhudia Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Ijumaa, 15 Machi 2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II” Sehemu ya Kwanza

Ijumaa, 1 Februari 2019

Maonyesho ya Mungu | "Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu"

Maonyesho ya Mungu | "Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu"

Mwenyezi Mungu anasema, "Mwanadamu hana ufahamu wa umuhimu wa Mungu kumwokoa na umuhimu wa kazi ya usimamizi wa Mungu, na hafahamu jinsi Mungu Anavyotamani zaidi wanadamu wawe. Je, ni wanadamu mfano wa Adamu na Hawa, wasiopotoshwa na Shetani? Hapana! Usimamizi wa Mungu ni kwa ajili ya kupata kikundi cha watu ambao humwabudu Mungu na kujitoa kwake.

Jumanne, 1 Januari 2019

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 8

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 8

Kwa kuwa Mwenyezi Mungu—Mfalme wa ufalme—ameshuhudiwa, mawanda ya usimamizi wa Mungu yamejitokeza kabisa katika ulimwengu wote. Sio tu kwamba kuonekana kwa Mungu kumeshuhudiwa nchini China, lakini jina la Mwenyezi Mungu limeshuhudiwa katika mataifa yote na nchi zote. Wote wanaliita jina hili takatifu, wakitafuta kufanya ushirika na Mungu kwa njia yoyote iwezekanayo, wakiyafumbata mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kuhudumu kwa uratibu katika kanisa. Roho Mtakatifu hufanya kazi kwa njia hii ya ajabu.

Jumanne, 4 Septemba 2018

Swahili Christian Song "Umuxhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)

I
Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake. Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe, Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi. Kuonekana kama huku sio ishara ama picha. Si aina ya sherehe.