Smiley face

Jumapili, 21 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

I
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu
na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu
na kuonyesha upendo Wake.
Mungu anatamani kuwafanya watu zaidi kumjua,
kumwona na kumheshimu.
Hawajamwona kwa muda mrefu,
lakini sasa Yeye ni wa kweli kabisa.

II

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

    Yaliyopendekezwa:  Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni