Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukombozi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ukombozi. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 9 Septemba 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

Yesu asulubiwa kuwakomboa wanadamu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme. Kazi Yangu katika enzi hizi tatu hutofautiana katika maudhui kulingana na asili ya kila enzi, lakini katika kila hatua huambatana na mahitaji ya mwanadamu—au, sahihi zaidi, inafanywa kulingana na ujanja ambao Shetani anatumia katika vita Vyangu dhidi yake. Madhumuni ya Kazi Yangu ni kumshinda Shetani, ili kutoa wazi hekima Yangu na kudura, kufichua ujanja wote wa Shetani na hivyo kuokoa wanadamu wote, wanaoishi chini ya miliki yake. Ni kuonyesha hekima Yangu na kudura na wakati uo huo kufunua ubovu wa Shetani.

Jumatatu, 2 Septemba 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Unajua Nini Kuhusu Imani?

kumjua Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binadamu huelewa kidogo sana, na binadamumwenyewe amepungukiwa sana; yeye anakuwa tu na imani ndani Yangu bila kujali na bila kujua. Ingawa hajui imani ni nini wala ni kwa nini anayo imani ndani Yangu, anaendelea kufanya hivyo kwa shauku mno. Kile Ninachomwomba binadamu, si tu yeye kuniita Mimi kwa shauku kwa njia hii au kuniamini Mimi kwa mtindo huu wa kukosa mwelekeo. Kwani kazi Ninayoifanya ni yake binadamu kunijia Mimi na kunijia Mimi, wala si kwa binadamu kuvutiwa na kuniangalia Mimi kwa njia mpya kwa sababu ya kazi Yangu.

Jumapili, 21 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu


Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

I
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu
na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu
na kuonyesha upendo Wake.

Jumanne, 18 Desemba 2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Tatu

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Tatu


Mfalme wa ushindi hukaa juu ya kiti Chake cha enzi cha utukufu. Yeye Ametimiza ukombozi na kuongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Yeye hushikilia ulimwengu mikononi Mwake kwa hekima Yake ya uungu na uweza Yeye Amejenga Uyahudi na kuifanya imara. Pamoja na uadhama Wake Yeye huhukumu dunia ya maovu; Yeye huhukumu mataifa yote na watu wote, ardhi na bahari na vitu vyote hai juu yao, pia wale ambao wamelewa kwa divai ya uzinzi. Kwa hakika Mungu atawahukumu hao, na kwa hakika Atakuwa mwenye hasira nao na mle uadhama wa Mungu utafichuliwa.

Jumanne, 11 Septemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord


Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord


Miaka 2,000 iliyopita, Bwana Yesu alipofanya kazi ya ukombozi, Alipitia kashfa mbaya na shutuma kutoka kwa jamii ya kidini ya Kiyahudi. Viongozi wa Kiyahudi walijiunga na serikali ya Kirumi na kumsulubisha msalabani. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu—Bwana Yesu aliyerudi katika mwili—Amefika nchini China kufanya kazi ya hukumu. Tena, Anakabiliwa na hukumu ya kichaa, kukandamiza, na kukamatwa wakati huu na serikali ya Kikomunisti ya China na ulimwengu wa kidini.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?"

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?"

   Mwenyezi Mungu alivyosema, "Huyu Aitwaye Mungu si Roho Mtakatifu pekee, huyo Roho, Roho aliyoongezeka mara saba, Roho anayehusisha yote, bali pia mtu, mtu wa kawaida, mtu wa kipekee wa kawaida. Si wa kiume pekee, bali pia kike. Wako sawa kwamba wote wanazaliwa kwa binadamu, na tofauti kwamba mmoja anachukuliwa katika mimba na Roho Mtakatifu na mwingine Anazaliwa kwa mwanadamu lakini Anatoka kwa Roho moja kwa moja. Wako sawa kwa namna kwamba wote kupata miili kwa Mungu hutenda kazi ya Baba yao, na kutofautiana kwa namna kwamba mmoja Anafanya kazi ya ukombozi na mwingine anafanya kazi ya ushindi.