Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo neema-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo neema-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 30 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu|Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

Smiley face

Wimbo wa Kuabudu|Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

I
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani,
hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya,
na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi
wala kumwabudu tena.

Jumamosi, 27 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu |Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu




Wimbo wa Kuabudu |Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu

I
Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufungukia Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.

Jumatano, 23 Januari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 13

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 13


Katika hali yenu ya sasa nyinyi hushika dhana ya "kibinafsi"zaidi kupindukia, na madakizo ya dini ni mazito kiasi. Mmeshindwa kutenda katika roho, hamuwezi kufahamu kazi ya Roho Mtakatifu, na mmekataa mwanga mpya. Huoni jua wakati wa mchana kwa sababu wewe ni kipofu. Huwaelewi watu, umeshindwa kuwaacha wazazi wako, umekosa utambuzi wa kiroho, huijui kazi ya Roho Mtakatifu, na huna wazo la jinsi ya kula na kunywa ya neno Langu[a]. Ni tatizo kuwa hujui jinsi ya kula na kunywa peke yako.