Smiley face

Jumatatu, 30 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I" (Dondoo 14)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I" (Dondoo 14)

Mwenyezi Mungu anasema, “Utambulisho wa Muumba ni wa Kipekee, na Hufai Kutiifuata lile Wazo la Imani ya Kuabudu Miungu Wengi

Jumapili, 29 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" (Dondoo 4)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" (Dondoo 4)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumamosi, 28 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 3)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 3)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Ijumaa, 27 Desemba 2019

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa—Insha Juu ya Upendo wa Mungu


Maisha ya kanisa
Dujuan Japani
Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na wengine. Wakati mwingine sikujua hata kama ningepata chakula changu cha kufuatia, sembuse kumbwe na vitu vya watoto kuchezea. Kwa kuwa familia yangu ilikuwa fukara, nilipokuwa mdogo, ningevaa nguo zilizokuwa zikivaliwa na dadangu mkubwa awali. Nguo zake mara nyingi zilikuwa kubwa sana kwangu. Kama matokeo, nilipoenda shuleni, watoto wengine wangenicheka na hawangecheza na mimi. Utoto wangu ulikuwa mchungu sana. Kuanzia wakati huo kuendelea, ningejiambia kwa siri: Mara nitakapokuwa mtu mzima, nitakuwa mtu wa sifa na kupata pesa nyingi. Sitaruhusu wengine kunidharau tena. Kwa sababu familia yangu haikuwa na fedha, nililazimika kuacha shule kabla ya shule ya upili. Nilienda mji wa jimbo ili kufanya kazi katika kiwanda cha dawa. Ili kupata pesa zaidi, mara nyingi ningefanya kazi hadi saa tatu au nne usiku. Hata hivyo, fedha nilizopata hazikuwa za kutosha kufikia malengo yangu. Baadaye, niliposikia kwamba dada yangu alikuwa na uwezo wa kupata katika siku tano pesa nilizopata kwa mwezi kutokana na kuuza mboga, niliacha kazi yangu katika kiwanda cha dawa na nilikwenda kuuza mboga. Baada ya muda, nilipata kwamba ningeweza kupata hata pesa nyingi zaidi kwa kuuza matunda, kwa hiyo niliamua kuanza biashara kuuza matunda. Baada ya kuolewa na mume wangu, tulianzisha biashara ya mkahawa. Nilidhani kuwa kwa vile sasa nilikuwa na mkahawa, ningeweza kupata hata pesa zaidi. Mara nilipoweza kupata kiasi kikubwa cha mapato, kwa kawaida, ningeweza kushinda pendo na staha ya wengine. Watu wengine wangeanza kuniheshimu na wakati huo huo, ningeweza kuishi maisha bora zaidi. Hata hivyo, baada ya kuendesha biashara hiyo kwa kipindi cha muda, niligundua kuwa kwa hakika sikuwa natengeneza fedha nyingi. Nilianza kupata wasiwasi. Ni lini ningeweza kuishi maisha ambayo wengine wangependa?

Alhamisi, 26 Desemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5: Tumaini la Milenia Hatimaye Latimia | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5: Tumaini la Milenia Hatimaye Latimia | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

Jumatano, 25 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" (Dondoo 6)

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" (Dondoo 6)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumapili, 22 Desemba 2019

Kupitia Upendo Maalum wa Mungu

Maisha ya kanisa
Jiayi Mji wa Fuyang, Mkoa wa Anhui
Asili yangu ni ya kiburi hasa; bila kujali ninafanya nini, mimi daima hutumia werevu na ujuzi wa kubuni ili kuonyesha akili yangu na kwa hiyo mara kwa mara hukiuka mipango ya kazi ili nifanye mambo kwa njia yangu mwenyewe. Mimi ni mwenye kiburi hasa kuhusu kuchagua watu kwa cheo fulani. Ninaamini kuwa nina talanta ya kipekee na umaizi ambavyo hunisaidia daima kumchagua mtu sahihi. Kwa sababu ya hili, nilipomchagua mtu, singechunguza kwa dhati ili kuelewa hali zote za mtu niliyetaka kumchagua. Pia singewapima kwa makini watu ambao ninataka kuchagua kulingana na maadili yanayohusiana. Matokeo ya hili yalikuwa ni kwamba niliishia kuwachagua watu fulani wenye hila na udanganyifu waliozungumzia tu masomo na mafundisho ili kujichukulia majukumu muhimu katika kanisa. Hili lilisababisha hasara kubwa kwa kazi na pia kwa maisha ya ndugu zangu wa kiume na wa kike. Hatimaye, kutokana na ukosefu wangu wa kazi halisi katika huduma ya Mungu, nilikataliwa na Mungu. Nilipoteza kazi ya Roho Mtakatifu na kuondolewa kwa huduma.

Ijumaa, 20 Desemba 2019

Latest Swahili Praise and Worship Song | "Tuna Bahati Kukutana na Kuja kwa Mungu" | Tenzi ya Rohoni


Tuna bahati kukutana na kuja kwa mungu, twaisikia sauti Yake.
Tuna bahati kukutana na kuja kwa mungu, tunahudhuria sikukuu ya Mwanakondoo.
Tunamjua Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaona matendo Yake ya ajabu.
Tunaelewa siri ya maisha ya mwanadamu, maneno ya Mwenyezi Mungu ni ya thamani zaidi.
Tunakula na kunywa maneno ya Mungu, na tunaishi mbele Yake,
tusitafute tena huku na kule.
Tunapopitia hukumu ya Mungu, ingawa tunaweza kuteseka, tunatakaswa.
Tunapata ukweli na njia ya uzima wa milele.
Tukitafuta kumpenda Mungu, hatutawahi kujuta.

Jumatano, 18 Desemba 2019

Wimbo Mpya wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu” | MV


Wimbo Mpya wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu” | MV


Mandhari iliyochorwa katika Biblia “Amri ya Mungu kwa Adamu”
ni ya kugusa na yenye kutia moyo.
Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu,
uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao.

Jumanne, 17 Desemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 2: Kusherehekea Kuja kwa Mungu | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani” Mambo Muhimu 2: Kusherehekea Kuja kwa Mungu | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?
Miongoni mwa wanadamu, ni nani aishiye katika uchungu na ambaye amevumilia maelfu ya miaka ya upotovu wa Shetani, ambaye hatamani—hana hamu—ya kuwasili kwa Mungu? Je, ni waumini na wafuasi wangapi wa Mungu katika enzi zote, ambao chini ya ushawishi wa Shetani, wamevumilia taabu na dhiki, mateso na kutengwa? Ni nani asiyetumaini kuwa ufalme wa Mungu utakuja hivi karibuni? Baada ya kuonja furaha na masikitiko ya binadamu, ni nani kati ya wanadamu asiyetamani ukweli na haki vimiliki kati ya wanadamu?
Ufalme wa Mungu utakapokuja, siku inayosubiriwa kwa hamu na mataifa na watu wote hatimaye itafika! Wakati huu, mandhari kati ya vitu vyote mbinguni na duniani yatakuwa yapi? Maisha katika ufalme yatakuwa mazuri kiasi gani? Zikiwa na “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani,” sala za milenia zitatimia!

Jumatatu, 16 Desemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 3: Mbingu na Dunia Mpya Baada ya Maafa | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 3: Mbingu na Dunia Mpya Baada ya Maafa | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?
Miongoni mwa wanadamu, ni nani aishiye katika uchungu na ambaye amevumilia maelfu ya miaka ya upotovu wa Shetani, ambaye hatamani—hana hamu—ya kuwasili kwa Mungu? Je, ni waumini na wafuasi wangapi wa Mungu katika enzi zote, ambao chini ya ushawishi wa Shetani, wamevumilia taabu na dhiki, mateso na kutengwa? Ni nani asiyetumaini kuwa ufalme wa Mungu utakuja hivi karibuni? Baada ya kuonja furaha na masikitiko ya binadamu, ni nani kati ya wanadamu asiyetamani ukweli na haki vimiliki kati ya wanadamu?
Ufalme wa Mungu utakapokuja, siku inayosubiriwa kwa hamu na mataifa na watu wote hatimaye itafika! Wakati huu, mandhari kati ya vitu vyote mbinguni na duniani yatakuwa yapi? Maisha katika ufalme yatakuwa mazuri kiasi gani? Zikiwa na “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani,” sala za milenia zitatimia!

Jumapili, 15 Desemba 2019

Latest Swahili Worship Song 2019 | "Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa"



I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.

Jumamosi, 14 Desemba 2019

A Hymn of God's Words All People Live in God's Light

Maisha ya kanisa


I
Now in exultation,
God's holiness and righteousness
thrive through the universe,
exalting among all mankind.
Cities of heaven laugh,
the kingdoms of earth dance.
Who doesn't jubilate?
Who doesn't shed tears?
Men do not quarrel
nor come to blows;
they do not disgrace God's name,
living in the light of God,
being in peace with each other.

Alhamisi, 12 Desemba 2019

Siri Zilizofichwa Nyuma ya Ufuatiliaji

Kutafakari kwa Kikristo
Li Li Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong
Sio muda mrefu uliopita, nilichaguliwa kama kiongozi wa ngazi ya katikati na ndugu zangu wa kiume na kike. Siku moja, nilipokuwa nimekusanyika na wafanyakazi wenzangu, sikuweza kujizuia kufikiria mwenyewe: ni lazima nifanye vyema. Ningetimiza wajibu wangu vibaya, viongozi wangu na wafanyakazi wenzangu wangenionaje? Matokeo yake yalikuwa, tulipozungumzia mada fulani pamoja, almuradi nilikuwa na ufahamu kidogo wa mada hiyo, basi ningejaribu kuwa wa kwanza kusema kitu, hata hivyo wakati sikuwa na ufahamu wa mada iliyojadiliwa na sikuweza kusema chochote, nilijipata nikiwa na wasiwasi. Katika siku hizo chache za mikutano, nilihisi nimechoka sana na kuwa na wasiwasi hasa, kana kwamba nilikuwa katika uwanja fulani wa kupambana. Baadaye, nilitafakari juu ya kile nilichofichua na nilitambua kuwa hali ya aina hii ilikuwa ilisababishwa hasa na majisifu yangu na hakukuwa na matatizo halisi.

Jumatano, 11 Desemba 2019

Ubia wa Kweli

Maisha ya kanisa
Fang Li Jiji la Anyang, Mkoa wa Henan
Hivi karibuni nilidhani nilikuwa nimeingia katika ubia wenye kuridhisha. Mshirika wangu na mimi tuliweza kujadili kitu chochote, wakati mwingine hata nikamwomba aonyeshe dosari zangu, na hatukupigana kamwe, hivyo nilidhani tulikuwa tumefanikisha ubia wenye kuridhisha. Lakini kama ukweli ulivyofichua, ubia wenye kuridhisha kwa kweli haukuwa kama kitu chochote nilichosadiki.

Jumanne, 10 Desemba 2019

Uzoefu wa Kutenda Ukweli

Umwombe Mungu
Hengxin Jiji la Zhuzhou, Mkoa wa Hunan
Sio muda mrefu mno uliopita, nilisikia “Mahubiri na Ushirika juu ya Kuingia Katika Maisha,” jambo ambalo lilinielekeza kuelewa kwamba ni wale tu wanaotenda ukweli wanaoweza kupata ukweli na hatimaye kuwa wale ambao wanaomiliki ukweli na ubinadamu hivyo kupata kibali cha Mungu. Kuanzia hapo kwendelea, kwa makusudi nilifanya jitihada za kuunyima mwili wangu na kutenda ukweli katika maisha yangu ya kila siku. Wakati fulani baadaye, nilitambua kwa furaha kwamba ningeweza kutenda ukweli kiasi. Kwa mfano, siku za nyuma niliogopa kuonyesha upande wangu mwovu kwa wengine. Sasa kwa makusudi nilikuwa wazi na ndugu wa kiume na wa kike, nikichangua tabia yangu potovu. Kabla, wakati nilipopogolewa na kushughulikiwa, ningetoa udhuru na kukwepa wajibu. Sasa nilifanya jitihada makusudi kujikana badala ya kujaribu kuhalalisha tabia yangu mbaya. Katika siku za nyuma, nilipopata msuguano na wenzangu kazini, nilikuwa na mawazo finyu, uchwara na wa kuelekea kununa. Sasa nilipokabiliwa na hali hizo ningeunyima mwili wangu na kutumia stahamala na subira na wengine. … Kila wakati nilipofikiria maendeleo yangu katika kutenda ukweli, ningejihisi kuwa na furaha mno. Nilidhani kuwa uwezo wangu wa kutenda ukweli kiasi ulimaanisha kwamba nilikuwa mweledi halisi wa ukweli. Kwa njia hii, bila kujua nikawa mwenye maringo na wa kujipongeza.

Jumatatu, 9 Desemba 2019

Si Rahisi Kuwa Mtu Mwaminifu

Maisha ya kanisa
Imeandikwa na Zixin, Mkoa wa Hubei
Baada ya kuikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, kwa kusoma maneno ya Mungu na kusikiliza mahubiri, nilikuja kuelewa umuhimu wa kufuatilia kuwa mtu mwaminifu katika imani ya mtu, na kwamba ni kwa kuwa mtu mwaminifu tu ndipo mtu anaweza kupata wokovu wa Mungu. Hivyo nikaanza kushiriki kuwa mtu mwaminifu katika maisha halisi. Baada ya kipindi cha muda, nilitambua kuwa nilipata kuingia kiasi katika maisha. Kwa mfano: Wakati nikiomba au kuzungumza na mtu, ningeweza kusema ukweli na kutoka moyoni; pia niliweza kuuchukua utekelezaji wa wajibu wangu kwa uzito kabisa, na nilipofichua upotovu niliweza kuzitoa siri zangu kwa watu wengine. Kwa sababu ya hili, nilifikiri kuwa mtu mwaminifu kulikuwa rahisi sana kutenda, na sio vigumu kamwe kama ilivyodaiwa kuwa na maneno ya Mungu: “Wengi wanaona afadhali washutumiwe hadi kuzimu kuliko kuongea na kutenda kwa uaminifu” (“Maonyo Matatu” katika Neno Laonekana katika Mwili). Ni baadaye tu nilipoweza kutambua vyema kupitia matukio kadhaa kwamba kwa kweli sio rahisi kwetu, wanadamu wapotovu, kuwa watu waaminifu. Maneno ya Mungu kwa kweli ni ya kweli kikamilifu na hayajatiwa chumvi kabisa.

Jumapili, 8 Desemba 2019

Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

Kutafakari kwa Kikristo
Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi
Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na walikosa motisha ya kuendelea kutafuta. Wengine walisema ilikuwa vigumu sana kumwamini Mungu na walimwelewa Mungu visivyo. Wengine walisema kwamba hali zao zilikuwa nzuri kabla ya wao kukutana na mimi, lakini punde tu waliponiona, walihisi shinikizo kubwa mno na wasio na raha. ... Niliposikia haya yote, nilihuzunika, na nilihisi kukosewa vibaya—kila wakati nilipokuja kushiriki na wao ningeishi kwa baadhi ya siku, na, ili kutatua shida zao, nilipitia na kudondoa kama mifano vifungu vingi vya neno la Mungu, nikizungumza hadi nilipokauka mdomo, na wakati huo wote nikifikiri kwamba juhudi zangu zilikuwa zimetoa matokeo mazuri. Sikuwahi kufikiri kwamba mambo yangegeuka kuwa hivi. Mbona hili lilifanyika. Niliweka swali hili katika mawazo yangu nilipomwomba Mungu, “Ee Mungu, hakika mimi ni mwenye makosa kwa ajili ya yote ambayo yamefanyika, lakini sijui nilikosea wapi. Naomba mwongozo Wako, ili niweze kutambua zaidi makosa yangu. Niko tayari kusubiri kupokea nuru Yako.”

Jumamosi, 7 Desemba 2019

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Maisha ya kanisa
Fan Xing Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitatembea katika njia za kufeli. Nimejifunza mafundisho yangu na hivyo kwa sasa wakati huu bila shaka nitakuwa na mawasiliano ya wazi zaidi na dada huyu na kufikia uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.

Ijumaa, 6 Desemba 2019

Uso halisi wa Mtu Anayedaiwa Kuwa Mtu Mzuri

Mazinduko ya Roho
Kemu Jiji la Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika mawazo yangu mwenyewe, daima nimejifikiria kuwa na ubinadamu mzuri. Nimefikiria hivi kwa sababu, majirani zangu mara nyingi walinisifu mbele ya wazazi wangu kwa kuwa mwenye busara na wa kuijali familia yetu; wakisema kuwa mimi nilikuwa kipenzi cha wazazi wangu. Baada ya kuolewa, wakwe zangu walinishukuru mbele ya majirani kwa kuwa wema na mtoto wao. Katika mahali pangu pa kazi, kiongozi wangu alinisifu kwa kuwa mwaminifu na mwenye ustadi. Na tangu nikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, nimekuwa mtii kwa chochote kanisa huniomba kufanya. Huwa sipingani kamwe na kiongozi hata nikikemewa na kiongozi huyu kwa kutofanya kazi nzuri, na mara nyingi mimi huwasaidia ndugu wa kiume na wa kike walio na mahitaji. Kwa hivyo, ninaamini kuwa mimi ni wa maana, mwenye huruma, na mtu mwema mwenye ubinadamu. Sijawahi kujifikiria mwenyewe kwa njia ya maneno ambamo Mungu hufichua kuwa mwanadamu hana ubinadamu au kwamba mtu ana ubinadamu dhaifu. Wakati wa kuwasiliana maneno ya Mungu na ndugu wa kiume na wa kike, ingawa najua nahitaji kuwa na ufahamu wa asili yangu mwenyewe, bado mimi hudumisha mtazamo wangu mwenyewe, nikifikiria moyoni mwangu: Hata kama mimi si mtu wa ubinadamu mzuri, bado nina ubinadamu bora kiasi ukilinganisha na wengine. Aidha, bila kujali neno la Mungu linavyosema au kile ndugu wa kiume na wa kike wanavyosema, siko tayari kujitenga na wazo la kuwa mtu wa ubinadamu mzuri.

Alhamisi, 5 Desemba 2019

Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini

Maisha ya kanisa
Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan
Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu. Aidha, bila kujali kiwango cha dosari kaka na dada zangu wangeonyesha, ningekikiri na kukikubali. Sikutafuta kujitetea mwenyewe, hivyo nilidhani kwamba nilikuwa mtu ambaye kwa hakika alikubali ukweli. Ni watu wale tu ambao hasa walikuwa wenye kiburi na majivuno na waliokuwa na mawazo kuhusu neno la Mungu, ambao hawangekiri kuwa neno la Mungu ni ukweli ndio ambao hawangekubali ukweli. Nilikuwa kwa kawaida nikifikiri hivi hadi siku moja nilipokuwa nikisikiliza “Ushirika na Mahubiri kuhusu Kuingia kwa Maisha”, ndipo nilipoelewa kweli kilichomaanisha kukubali ukweli.

Jumatano, 4 Desemba 2019

Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu

Xunqiu Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Nilikuwa nikidhani kwamba Mungu alimhukumu na kumuadibu mwanadamu wakati tu Alipoufichua upotovu wa asili wa mwanadamu au alipoeleza maneno mkali ambayo yaliuhukumu mwisho wa mwanadamu. Ilikuwa ni baadaye kabisa tu ambapo tukio moja liliponiongoza kutambua kwamba hata maneno mapole ya Mungu pia yalikuwa ni hukumu na kuadibu Kwake. Niligundua kuwa kila neno Alilolisema Mungu ni hukumu Yake kwa mwanadamu.

Jumanne, 3 Desemba 2019

Maana Halisi ya Uasi Dhidi ya Mungu

Kutatua Mchafuko wa Kiroho
Zhang Jun Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning
Katika siku za nyuma, niliamini kuwa “uasi dhidi ya Mungu” ilimaanisha kumsaliti Mungu, kuacha kanisa, au kuutelekeza wajibu wa mtu. Nilidhani tabia hizi hufanyiza uasi. Kwa hiyo, wakati wowote niliposikia kuhusu watu wakihusika katika tabia hizo, ningejikumbusha kwamba sipaswi kuasi dhidi ya Mungu kama walivyofanya. Aidha, nilikuwa mwangalifu katika jitihada zangu zote na nilishikilia kazi zote nilizopewa na kanisa. Sikurudi nyuma kutoka kwa wajibu wangu wakati niliposhughulikiwa na kupogolewa wala kuondoka kutoka kanisani nilipojaribiwa, bila kujali shida. Kwa hiyo, niliamini kwamba sikuwahi kuasi dhidi ya Mungu kamwe. Nilihisi kuwa nilikuwa nimepata hadhi fulani tayari na nilikuwa na hakika kwamba ningemfuata Mungu mpaka mwisho na hatimaye kufanikisha wokovu.

Jumatatu, 2 Desemba 2019

Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa

Mazinduko ya Roho
Chaotuo Mji wa Xiaogan, Mkoa wa Hubei
Tangu Tetemeko la Ardhi la Sichuan la Mei 12, daima nimekuwa na hofu na wasiwasi kwamba siku moja huenda nikakumbwa na maafa. Hasa kwa vile nimeona maafa yakiongezeka, na matetemeko ya ardhi yakiwa ya mara kwa mara, hofu yangu ya maangamizi imekuwa hata wazi zaidi. Matokeo yake ni kuwa, mimi hutumia siku nzima nikitafakari ni tahadhari gani ambazo napaswa kuchukua ili kujilinda iwapo tetemeko la ardhi litazuka.

Jumapili, 1 Desemba 2019

Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengine

Maisha ya kanisa
Liu Heng Mkoa wa Jiangxi
Kupitia neema ya Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule dada mwingine na nitakuwa mtu anayetafuta ukweli. Lakini nilikuwa nimeamua tu, na sikujua jinsi ya kuingia katika uhalisi wa uhusiano wa kufanya kazi kwa mpangilio wa kuridhisha. Nilipoanza kwanza kupanga masuala ya kanisa na dada ambaye nilikuwa nikifanya kazi naye, na tulipokuwa na maoni tofauti, ningemwomba Mungu kwa uwazi nikimuuliza Yeye kuulinda moyo wangu na roho yangu ili nisimlaumu mshirika wangu. Hata hivyo, nilizingatia tu kudhibiti vitendo vyangu ili nisiwe na migogoro na mshirika wangu, kwa hivyo sikuwa nimeingia katika ukweli