Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu. Kazi kama hiyo inafanywa ili kwa njia bora zaidi kutimiza shabaha za kumshinda binadamu, kumfanya binadamu kuwa mtimilifu, na kumwondoa binadamu. Hii ndiyo maana ya kweli ya kutumia neno ili kufanya kazi katika Enzi ya Neno. Kupitia kwenye neno, binadamu anajua kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, kiini cha binadamu, na kile ambacho binadamu anastahili kuingia ndani yake.
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata-mwili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata-mwili. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 6 Agosti 2019
Jumanne, 23 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu
Wimbo wa Kuabudu | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu
I
Kupitia neno la Mungu la utendaji,
unyonge wa mwanadamu na uasi
yanahukumiwa na kufichuliwa.
Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji
Wanaona kuwa Mungu amekuja
katika ulimwengu huu wa binadamu.
Kazi ya Mungu wa utendaji ina nia ya kumwokoa kila mmoja
kutoka kwa ushawishi wa Shetani,
kuwaokoa kutoka kwa uchafu na kwa tabia yao
iliyopotoshwa na Shetani.
Ijumaa, 12 Januari 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)(Sehemu ya Tatu)
1. Jinsi Mungu Anatawala na Kuongoza Ulimwengu wa Kiroho
3) Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya hayo, hebu tuzungumzie mzunguko wa uhai na mauti wa wale wanaomfuata Mungu. Hili linawahusu, hivyo kuweni makini. Kwanza, fikiria kuhusu ni makundi gani ambamo watu wanaomwamini Mungu wanaweza kugawika. Kuna mawili: wateule wa Mungu na watendaji-huduma.
Ijumaa, 17 Novemba 2017
Sura ya 29. Mtu Lazima Ajue Jinsi Ambayo Mungu Hufanya Kazi
Mwenyezi Mungu alisema: Kazi ya Mungu, iwe ni kwa mwili au kwa Roho, yote inafanywa kulingana na mpango wa usimamizi. Kazi Yake haifanywi kulingana na kama ni ya umma au ya kibinafsi, au kulingana na mahitaji ya mwanadamu—inafanywa kikamilifu kulingana na mpango wa usimamizi. Hatua hii ya kazi haiwezi kufanywa kwa njia yoyote ya zamani: Inapaswa kukamilika juu ya msingi wa hatua mbili zilizopita za kazi. Hatua ya pili ya kazi iliyokamilishwa wakati wa Enzi ya Neema ilimpa mwanadamu ukombozi. Hii ilifanywa na Mungu mwenye mwili.
Jumatatu, 6 Novemba 2017
Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu
![]() |
| Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu |
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu
Mwenyezi Mungu alisema: Ni lazima myafahamu maono ya kazi ya Mungu na mpate mwelekeo wa kazi Yake. Huku ni kuingia kwa njia nzuri. Punde mnapong’amua ukweli wa maono kwa usahihi, kuingia wako utakuwa salama; bila kujali kazi Yake hubadilika kiasi gani, utaendelea kuwa imara moyoni mwako, utakuwa wazi kuhusu maono, na utakuwa na lengo la kuingia na kazi yako. Kwa njia hiyo, tajriba na ufahamu ulio ndani yako utakua kwa kina na kutakaswa zaidi. Punde unapong’amua ukweli wote, hutapoteza kitu maishani na hutapotea.
Jumapili, 29 Oktoba 2017
Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu
![]() |
| Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu |
Mwenyezi Mungu alisema: Kwa miaka mingi Roho wa Mungu Amekuwa Akifanya kazi kwa kutafuta duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama. Inaendelezwa mbele kupitia mwanadamu, bila kikomo mpaka siku ya leo.
Alhamisi, 26 Oktoba 2017
Umeme wa Mashariki | Jinsi ya Kuingia Ndani ya Hali ya Kawaida
Watu wanapozidi kuwa wapokelevu wa maneno ya Mungu, ndivyo wanavyozidi kupata nuru na wanaendelea zaidi kufuatilia maarifa ya Mungu kwa njaa na kiu ya hali ya kuwa mwenye haki. Ni wale tu ambao wanapokea maneno ya Mungu wanaweza kuwa na matukio ya undani zaidi na yenye utajiri zaidi; ni wale tu ambao maisha yao yanakuwa ya kupendeza zaidi na zaidi. Kila mtu ambaye anafuatilia uzima lazima ashughulikie haya kana kwamba ni kazi yake, na ni sharti awe na hisia kuwa hawezi kuishi bila Mungu, na hakuna mafanikio yoyote bila Mungu, na kila kitu ni ubatili bila Mungu. Wanapaswa kuwa na azimio la kutofanya lolote bila uwepo wa Roho Mtakatifu, na kutotaka kutenda lolote zaidi kama matendo yao hayazai matunda.
Jumatatu, 23 Oktoba 2017
Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
![]() |
| Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili |
Mwenyezi Mungu
alisema: Mungu alifanyika mwili kwa sababu lengo la kazi Yake si roho ya Shetani, au kitu chochote kisicho cha mwili, ila mwanadamu, ambaye ni wa mwili na ambaye amepotoshwa na Shetani. Ni kwa sababu hii hasa kwamba mwili wa mwanadamu umepotoshwa ndiyo maana Mungu amemfanya mwanadamu mwenye mwili kuwa mlengwa wa kazi Yake; aidha, kwa sababu mwanadamu ni mlengwa wa upotovu, Amemfanya mwanadamu kuwa mlengwa wa pekee wa kazi Yake katika hatua zote za kazi Yake ya wokovu. Mwanadamu ni kiumbe anayekufa, ni wa mwili na damu, na Mungu ndiye tu Anayeweza kumwokoa mwanadamu.Kiini cha Mwili Ulio na Mungu
![]() |
| Kiini cha Mwili Ulio na Mungu |
Mwenyezi Mungu alisema: Mungu mwenye mwili wa kwanza Aliishi duniani kwa miaka thelathini na tatu na nusu, lakini Alitekeleza huduma Yake kwa miaka mitatu na nusu pekee ya hiyo miaka yote. Kipindi Alichofanya kazi na kabla Aanze kazi Yake, Alikuwa na ubinadamu wa kawaida. Aliishi na ubinadamu Wake wa kawaida kwa miaka thelathini na tatu na nusu. Katika miaka yote mitatu na nusu ya mwisho Alijifichua kuwa Mungu mwenye mwili. Kabla Aanze kutekeleza kazi ya huduma Yake, Alikuwa na ubinadamu wa kawaida, bila kuonyesha ishara ya uungu Wake, na ni baada tu ya kuanza rasmi kutekeleza huduma Yake ndipo uungu Wake uliwekwa wazi.
Jumatano, 11 Oktoba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno
![]() |
| Kanisa la Mwenyezi Mungu Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno |
Mwenyezi Mungu alisema, Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu. Kazi kama hiyo inafanywa ili kwa njia bora zaidi kutimiza shabaha za kumshinda binadamu, kumfanya binadamu kuwa mtimilifu, na kumwondoa binadamu.
Jumapili, 8 Oktoba 2017
Kuhusu Biblia (1)
![]() |
| Kuhusu Biblia (1) |
Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utaeneza injili na kupanua kazi ya Enzi ya Ufalme, na haitoshi tu kuweza kuzungumza juu ya kazi ya Mungu leo. Ili kupanua kazi Yake, ni muhimu zaidi kwamba unakuwa na uwezo wa kubadilisha dhana za watu za dini ya kale na njia za kale za imani, na kuwaacha wakiwa wameshawishika kabisa—na kufikia katika hoja hiyo Biblia inahusishwa.
Jumamosi, 23 Septemba 2017
Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe
![]() |
| Unapaswa Kujua kuwa Mungu wa Vitendo ni Mungu Mwenyewe |
Mwenyezi Mungu alisema: Je, unapaswa kujua nini kuhusu Mungu wa vitendo? Mungu wa vitendo Mwenyewe anajumuisha Roho, Nafsi, na Neno, na hii ndiyo maana ya kweli ya Mungu wa utendaji Mwenyewe. Kama unajua Nafsi pekee—kama unajua tabia na utu Wake—lakini hujui kazi ya Roho, au ambacho Roho hufanya katika mwili, na kuangazia Roho tu, na Neno, na kuomba mbele ya Roho, bila kujua kazi ya Roho wa Mungu katika Mungu wa vitendo, basi hii inadhihirisha kuwa humjui Mungu wa vitendo.
Jumamosi, 9 Septemba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufalme wa Milenia Umewasili
![]() |
| Ufalme wa Milenia Umewasili |
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufalme wa Milenia Umewasili
Mwenyezi Mungu alisema: Je, mmeona kazi ambayo Mungu ataikamilisha katika kundi hili la watu? Mungu alisema, hata katika Ufalme wa Milenia watu ni lazima waendelee kufuata matamshi Yake, na katika maisha ya baadaye, matamshi ya Mungu bado yatakuwa yanaongoza maisha ya mwanadamu moja kwa moja kwenda katika nchi ya Kanaani. Musa alipokuwa jangwani, Mungu alimwelekeza na kuzungumza naye moja kwa moja. Kutoka mbinguni Mungu alituma chakula, maji, na mana ili watu waweze kuvifurahia, na leo bado ni hivyo: Mungu mwenyewe ametuma vitu chini kwa ajili ya kula na kunywa ili watu wafurahi, na yeye mwenyewe ametuma laana ili kuwaadibu watu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)








